Posts

Lyrics | Rayvanny -Mbeleko.| Official Lyrics

Image
Mmmmh ulisemanga dunia ina mapambo  yake eeh ukiacha majumba pesa magari ni wanawake eeh nimezunguka aah, nimefika kwake eeh siwezificha nimeshanasa kwa pendo lake eeh halabaani kakuumba kimwana ,mwenye sifa ya upole ata mama kakusifu sana,kitofauti na wale (wajane) kule nilizama tafadhali niokoe mamamaa unipulize nipoe (we ndo my queen baby my only sitopenda uende mbali one day )x2 (unaficha mbele kwa ajili yako, jiachie tu nikubebebe)x2 we ndogo mtoto me nakubembeleza jiachie tu nikubebe eeh

Lyrics | Harmonize - Happy Birthday.| Official Lyrics

Image
Kwanza nina furaha, nitaimba na kucheza (na kucheza) washa mishumaa, weka keki juu ya meza, (juu ya meza) oh ila usinicheke, nimekuletea zawadi, kidogo nlichobarikiwa aki mwana mpweke, aje na dumu la maji asijekumwagia ah nakapicha kao nitakoposti, wasikupenda itawacosti,  ah leo siku yako nishajikoki, tuko rafiki zako tunasema happy birthday happy birthday to you X4  ah sinywagi pombe leo ntalewa niwape shonde waliochelewa zikinipanda monde nitapepewa ah pembe la ng'ombe au malewa ila usiforget, kusema asante baba na mama walokukuza ukakua  tunakupa na keki kwa wema akulinde baba maulana twakuombea na dua ah na kapicha kako ntakaposti, wasikupenda itawacosti,  ah leo siku yako nishajikoki, tuko rafiki zako tunasema happy birthday happy birthday to you X4 kata keki kata, kata kata kata  kata unilishe

Lyrics | Rich Mavoko ft Diamond Platnumz| - Kokoro.| Official Lyrics

Image
Intro Wasafiii Hayaa ADVERTISING ADVERTISING inRead  invented by Teads Heyoo Laizer Wasafi Records 1Me and u till i die Babe Chimamy White Mmasai Mzuri hadi ndani I know you like Mumbai Upo kama nyumbani I can buy Hyundai Haifiki Mwakani Tena hujui poda wala Hupaki mascara Shape nyuma kigoda Sauti kama ya stara Una lips nyembamba Toto la mujer de mi vida Kiuno cha kuvaa khanga Macho kama umenyonya weeda Oooh babe Aaaaaah Girl i want to see Aaaaaah Ah babeee Aaaaah ooh Girl i want to see Aaaaaahoh babeee Asa kokoroooooooh kokoro Asa kokoro babe Asa kokoro Eeeeeh kokoro Anifinyie kwa ndani Asa kokoroooooooh kokoro Asa kokoro babe Asa kokoro Eeeeeh kokoro Napendagaa Aaaaaaah Diana, Sister Diana Mhhh Halima, sis Halima Una pigo za ki lady Gaga Nyuma laini kama burger Zigo la kuvunja chaga Kifaranga kimetaga Kwanza mwanzi matata unavyosakata Kiuno talanta mavi karata Mjini Makata Avon Kamata Bichwa nang'ata soka samatta Eee eeeh Mashallah mie kwake...

Lyrics | Diamond Platnumz -Ntampata Wapi.| Official Lyrics

Image
Sura Yake Mtaratibu Mwenye Macho Ya Aibu Kumsahau Najaribuu. Ila Namkumbuka Sanaa Umbo Lake Mahbibu Kwenye Maradhi Alionitibu Siri Yangu Ukaribuu Bado Namumbuka Sanaa Lakini Hata Hakujali Darling Alionifanya Silali, Jua Kali Nitafute Tukale Darling--ah, aaa. Akatekwa na Walee Alionifanya Silali, Jua Kali Nitafute Tukale Ntampata Wapi Kama Yule Ila Wala Hakujali Niliompendaga Saana Niliompendaga Saana Ntampata Wapi Kama Yule Nae Anipende Sana Hadi Nalia Pekee Yangu Ntampata Wapi Kama Yule Ntampata Wapi Kama Yule Aii, Aii Nyotaa ahh Nae Anipende Sana Nyota Ndo Tatizo Langu Wenye Pesa Nyumba Gaari (Gaari) Aii Nyota Ahh Aii Nyota Ahh Nyota Ndio Shida Yangu Nyota Ahh Wamenizidi Wenzangu Mi Mnyonge Hakunijali (Jaali) Alidanganywa na Wale (Walee) Mi kapuku Hakunijali (Jaali) Alidanganywa na Wale (Walee) Akanimbiaa Akanikimbiaa Wa Mapesa Nyumba Gaari (Gaari) Nitafute Tukale Al...

Lyrics | Rayvanny x Harmonize| - Penzi.| Official Lyrics

Image
v [Verse 1] [Raymond] Nawaza kwanini sikumjuaga zamani (Oh mama) Pendo lake zito mpaka lavunja mizani (Oh mama) Yeye na mimi kachoo nisharuka nyie (Oh mama) Wasojua mapenzi pole jamani Eti alikuwa bachelor, aibu gani! [Harmonize] Aliyeumba dunia Akayaumba na mapenzi Wala hakukosea Ila mwenzenu mi siwezi Nilishapenda Ila nkatendwa Moyo ulidunda, masikini roho Mbona nlikonda Licha ya kuhonga Kuweka vibanda Nishaomba poo Mwenzangu bado hujajua Baki unicheke Kwako yamechanua Ngoja yanyauke [Raymond] Andazi si kitumbua, acha mapepe Ukipendwa tanua, kwanini nsideke? [Chorus x2] [Raymond] Jamani nimependa mi, nimependa mi Nimependa mi, nataka nimuweke ndani [Harmonize] Mwenzako nimetendwa mie, nimetendwa mie Nimetendwa mie, mapenzi siyatamani [Verse 2] [Raymond] Ana mapenzi ya bara kachanganya na pwani Vipi nitajinasua? Rangi kama chotara, shape sio mjapani Marashi huzibi pua Ameumbika sina budi...

Lyrics | Diamond Platnumz - Mapenzi Basi.| Official Lyrics

Image
[Chorus x2] Mi mwenzenu tena basi Oh mapenzi sitaki Oh mwenzenu tena basi Basi sitaki [Verse 1] Yalinifanya nikaugua Mara napanga napangua Mwili ukakonda nikapungua Ah sikulala, sikulala Oh maradhi nikaugua oh Yakanichoma na kuungua roho Kutwa nawaza na kuwazua Sikulala [Bridge] Hayo mapenzi bwana, hayana maana Yalinifanya mi nichekwe Sababu yake nshagombana, nikatukanwa Lakini akanipiga teke Ai haya mapenzi bwana, hayana maana Yalinifanya mi nichekwe Sababu yake nkagombana, usiku mchana Yeye [Chorus x2] Mi mwenzenu tena basi Oh mapenzi sitaki Oh mwenzenu tena basi Basi sitaki [Verse 2] Oh nilishagombana na mama mzazi Akataka nimwagia radhi Sababu yule fulani, yule wa moyo wangu Yakaleta zengwe kwa kazi Ugomvi wa simba na panzi Vurugu kwa majirani Ah, ee Mola wangu [Bridge] Hayo mapenzi bwana, hayana maana Yalinifanya mi nichekwe Sababu yake nshagombana, nikatukanwa Lakini akanipiga teke Ai...

Lyrics | Diamond Platnumz - Nitarejea.| Official Lyrics

Image
Vipi mizigo umeshaweka tayari Sijechelewa nkaachwa na gari Basi jikaze usilie mpenzi Mi nitarudi niombee kwa mwenyezi Zile taabu na njaa msimu mzima mavuno hakuna Huwa nakosa raha pale mkikosa cha kutafuna Roho yangu inauma, sema ntafanya nini na pesa sina nakuonea na huruma, bora niende mjini kusaka tumaa Chorus Kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea wadanganye na vibagia, waambie pipi ntawaletea Kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea nawe usichoke kuvumilia, na kila siku kuniombea Wanajua kwamba nafsi na roho vitakuwa na wasiwasi ukumbuke na moyo utajawa na simanzi ntakapokuwa nakwenda shambani afu niko peke yangu honey ntapokuja kuwa na majirani ntaumia aaah pale napotoka kisimani ama nipo na kuni kichwani sina wakunitua nyumbani ntaliaa maneno yako yananfanya nakosa raha na mawazo hata mwenzako sijawahi kufika dar huu ndo mwanzo vile nakwenda na sijui pa kukaaa...