Lyrics | Harmonize - Niambie.| Official Lyrics
VERSE 1 Mujini Kipenzi, Silani Shilingi baby Kupendana zamani ndo wanavyosemaga Wazuri ni wengi , ila uongo mwingi baby Wakishaviona vya ndani basi wanakumwaga Ndo maana Ukichelewa dukani, mie kamoyo kananidundaga Nawaza asije mangi jirani, akakuonga kilo ya unga aah PRE KORASI oooh Mbaya zaidi sina kazi, nakosa senti tano ya kipande Bora nikuweke wazi, yanini nikufiche Gambe Tumeumbiwa shida maradhi, ndo chanzo mpaka wengi wadande Niweke wazi nikipi kinafanya Unipende KORASI Niambie , Tell me baby love,oooh Basi niambie Vipi unanipenda ingali sina doo , Usije nitenda ukaniumiza Roho VERSE 2 Siku hizi magari ya wakongo, mapesa mara nyumba mbezi Usinichanganye na ubongo nidate kisa mapenzi Sijakuwekea Ndumba, umenipendea rhumba Vipi nikija Tunda oooooh oooh Usije mgezea Punda, ukaniachia Ngunga Wanakumendea Chunga oooh oooh PRE KORASI Mbaya zaidi sina kazi, nakosa senti tano ya kipande Bora nikuweke wazi, yanini nikufiche ...
Comments
Post a Comment