Posts

Showing posts from April, 2017

Lyrics | Rayvanny -Mbeleko.| Official Lyrics

Image
Mmmmh ulisemanga dunia ina mapambo  yake eeh ukiacha majumba pesa magari ni wanawake eeh nimezunguka aah, nimefika kwake eeh siwezificha nimeshanasa kwa pendo lake eeh halabaani kakuumba kimwana ,mwenye sifa ya upole ata mama kakusifu sana,kitofauti na wale (wajane) kule nilizama tafadhali niokoe mamamaa unipulize nipoe (we ndo my queen baby my only sitopenda uende mbali one day )x2 (unaficha mbele kwa ajili yako, jiachie tu nikubebebe)x2 we ndogo mtoto me nakubembeleza jiachie tu nikubebe eeh

Lyrics | Harmonize - Happy Birthday.| Official Lyrics

Image
Kwanza nina furaha, nitaimba na kucheza (na kucheza) washa mishumaa, weka keki juu ya meza, (juu ya meza) oh ila usinicheke, nimekuletea zawadi, kidogo nlichobarikiwa aki mwana mpweke, aje na dumu la maji asijekumwagia ah nakapicha kao nitakoposti, wasikupenda itawacosti,  ah leo siku yako nishajikoki, tuko rafiki zako tunasema happy birthday happy birthday to you X4  ah sinywagi pombe leo ntalewa niwape shonde waliochelewa zikinipanda monde nitapepewa ah pembe la ng'ombe au malewa ila usiforget, kusema asante baba na mama walokukuza ukakua  tunakupa na keki kwa wema akulinde baba maulana twakuombea na dua ah na kapicha kako ntakaposti, wasikupenda itawacosti,  ah leo siku yako nishajikoki, tuko rafiki zako tunasema happy birthday happy birthday to you X4 kata keki kata, kata kata kata  kata unilishe

Lyrics | Rich Mavoko ft Diamond Platnumz| - Kokoro.| Official Lyrics

Image
Intro Wasafiii Hayaa ADVERTISING ADVERTISING inRead  invented by Teads Heyoo Laizer Wasafi Records 1Me and u till i die Babe Chimamy White Mmasai Mzuri hadi ndani I know you like Mumbai Upo kama nyumbani I can buy Hyundai Haifiki Mwakani Tena hujui poda wala Hupaki mascara Shape nyuma kigoda Sauti kama ya stara Una lips nyembamba Toto la mujer de mi vida Kiuno cha kuvaa khanga Macho kama umenyonya weeda Oooh babe Aaaaaah Girl i want to see Aaaaaah Ah babeee Aaaaah ooh Girl i want to see Aaaaaahoh babeee Asa kokoroooooooh kokoro Asa kokoro babe Asa kokoro Eeeeeh kokoro Anifinyie kwa ndani Asa kokoroooooooh kokoro Asa kokoro babe Asa kokoro Eeeeeh kokoro Napendagaa Aaaaaaah Diana, Sister Diana Mhhh Halima, sis Halima Una pigo za ki lady Gaga Nyuma laini kama burger Zigo la kuvunja chaga Kifaranga kimetaga Kwanza mwanzi matata unavyosakata Kiuno talanta mavi karata Mjini Makata Avon Kamata Bichwa nang'ata soka samatta Eee eeeh Mashallah mie kwake...

Lyrics | Diamond Platnumz -Ntampata Wapi.| Official Lyrics

Image
Sura Yake Mtaratibu Mwenye Macho Ya Aibu Kumsahau Najaribuu. Ila Namkumbuka Sanaa Umbo Lake Mahbibu Kwenye Maradhi Alionitibu Siri Yangu Ukaribuu Bado Namumbuka Sanaa Lakini Hata Hakujali Darling Alionifanya Silali, Jua Kali Nitafute Tukale Darling--ah, aaa. Akatekwa na Walee Alionifanya Silali, Jua Kali Nitafute Tukale Ntampata Wapi Kama Yule Ila Wala Hakujali Niliompendaga Saana Niliompendaga Saana Ntampata Wapi Kama Yule Nae Anipende Sana Hadi Nalia Pekee Yangu Ntampata Wapi Kama Yule Ntampata Wapi Kama Yule Aii, Aii Nyotaa ahh Nae Anipende Sana Nyota Ndo Tatizo Langu Wenye Pesa Nyumba Gaari (Gaari) Aii Nyota Ahh Aii Nyota Ahh Nyota Ndio Shida Yangu Nyota Ahh Wamenizidi Wenzangu Mi Mnyonge Hakunijali (Jaali) Alidanganywa na Wale (Walee) Mi kapuku Hakunijali (Jaali) Alidanganywa na Wale (Walee) Akanimbiaa Akanikimbiaa Wa Mapesa Nyumba Gaari (Gaari) Nitafute Tukale Al...

Lyrics | Rayvanny x Harmonize| - Penzi.| Official Lyrics

Image
v [Verse 1] [Raymond] Nawaza kwanini sikumjuaga zamani (Oh mama) Pendo lake zito mpaka lavunja mizani (Oh mama) Yeye na mimi kachoo nisharuka nyie (Oh mama) Wasojua mapenzi pole jamani Eti alikuwa bachelor, aibu gani! [Harmonize] Aliyeumba dunia Akayaumba na mapenzi Wala hakukosea Ila mwenzenu mi siwezi Nilishapenda Ila nkatendwa Moyo ulidunda, masikini roho Mbona nlikonda Licha ya kuhonga Kuweka vibanda Nishaomba poo Mwenzangu bado hujajua Baki unicheke Kwako yamechanua Ngoja yanyauke [Raymond] Andazi si kitumbua, acha mapepe Ukipendwa tanua, kwanini nsideke? [Chorus x2] [Raymond] Jamani nimependa mi, nimependa mi Nimependa mi, nataka nimuweke ndani [Harmonize] Mwenzako nimetendwa mie, nimetendwa mie Nimetendwa mie, mapenzi siyatamani [Verse 2] [Raymond] Ana mapenzi ya bara kachanganya na pwani Vipi nitajinasua? Rangi kama chotara, shape sio mjapani Marashi huzibi pua Ameumbika sina budi...

Lyrics | Diamond Platnumz - Mapenzi Basi.| Official Lyrics

Image
[Chorus x2] Mi mwenzenu tena basi Oh mapenzi sitaki Oh mwenzenu tena basi Basi sitaki [Verse 1] Yalinifanya nikaugua Mara napanga napangua Mwili ukakonda nikapungua Ah sikulala, sikulala Oh maradhi nikaugua oh Yakanichoma na kuungua roho Kutwa nawaza na kuwazua Sikulala [Bridge] Hayo mapenzi bwana, hayana maana Yalinifanya mi nichekwe Sababu yake nshagombana, nikatukanwa Lakini akanipiga teke Ai haya mapenzi bwana, hayana maana Yalinifanya mi nichekwe Sababu yake nkagombana, usiku mchana Yeye [Chorus x2] Mi mwenzenu tena basi Oh mapenzi sitaki Oh mwenzenu tena basi Basi sitaki [Verse 2] Oh nilishagombana na mama mzazi Akataka nimwagia radhi Sababu yule fulani, yule wa moyo wangu Yakaleta zengwe kwa kazi Ugomvi wa simba na panzi Vurugu kwa majirani Ah, ee Mola wangu [Bridge] Hayo mapenzi bwana, hayana maana Yalinifanya mi nichekwe Sababu yake nshagombana, nikatukanwa Lakini akanipiga teke Ai...

Lyrics | Diamond Platnumz - Nitarejea.| Official Lyrics

Image
Vipi mizigo umeshaweka tayari Sijechelewa nkaachwa na gari Basi jikaze usilie mpenzi Mi nitarudi niombee kwa mwenyezi Zile taabu na njaa msimu mzima mavuno hakuna Huwa nakosa raha pale mkikosa cha kutafuna Roho yangu inauma, sema ntafanya nini na pesa sina nakuonea na huruma, bora niende mjini kusaka tumaa Chorus Kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea wadanganye na vibagia, waambie pipi ntawaletea Kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea nawe usichoke kuvumilia, na kila siku kuniombea Wanajua kwamba nafsi na roho vitakuwa na wasiwasi ukumbuke na moyo utajawa na simanzi ntakapokuwa nakwenda shambani afu niko peke yangu honey ntapokuja kuwa na majirani ntaumia aaah pale napotoka kisimani ama nipo na kuni kichwani sina wakunitua nyumbani ntaliaa maneno yako yananfanya nakosa raha na mawazo hata mwenzako sijawahi kufika dar huu ndo mwanzo vile nakwenda na sijui pa kukaaa...

Lyrics | Harmonize - Matatizo.| Official Lyrics

Image
Aiyelaaa, olelelelele......  Alfajiri imefika, anga inang'aaa Mvua inaanza katika, gafla tumbo la njaa Naweka sauti kwa spikaa, nipate umbea wa Dar  Mara simu inaita, jina la uncle Twaha akisema  Mama yuhoi kitandani, kama si waleo wakesho Na kupona sizani upate japo neno la mwisho (PRE-CHORUS) Mindo mtoto wa pekee, nyumbani wananitegemea Mdogo wangu wa kike, haliduni alishaga olewa  Tazama jasho langu la mnyonge, kipato hakikidhi mahitaji Napiga moyo kondee, yalabi Mola ndo mapaji matatizo  (CHORUS) Matatizo, yatakwisha lini.....  Matatizo, kila siku mimi (ewe Mola) Matatizo, yatakwisha lini...  Japo likizo, nifurahi na mimi.....  Mola aliniumba na subira, imani peke ngao yangu Mbona nishasali sana, ila mambo bado tafarani...  Mama kanifunza kikabira, ikunde sanda haimi yangu Tena nijitume sanaa na vya watu, nisivitamani Hata mpenzi nilo nae, najua siku atanikimbia Itatesa ye ndio n...

Lyrics | Rayvanny - Kwetu.| Official Lyrics

Image
[Verse 1] Sifa kwa Mola wangu Maulana kwa mengi aliofanya Hadi mi na we kukutana, kisura Sijapanga kudanganya, ntasema ukweli mama Kisa nakupenda sana, kisura Umesema wanipenda ila maisha yangu maseke Michicha, milenda ndo menyu yangu, na ya kuku mateke Yaani chenga, kila siku kilio sa lini nicheke? Sina tenda, ugali Buguruni, mboga Temeke Nafurahi umeniridhia niwe na wewe kimwali Maisha yangu mitihani isoisha maswali Ukifika nyumbani vumilia maana hali sio swali Asubuhi mchana pakavu, jioni ndo kula futali [Pre-Chorus] Tena huku kwetu muda wowote mateja wanatinga Viwalo vyetu ukifua kumbuka kuvilinda Huku kwetu muda wowote mateja wanatinga Mwali wee, suala la nyumba na gari mimi [Chorus] Bado, mi bado, mi bado Ndo kwanza nimepanga Bado, iyee, mi bado Sina hata kiwanja Bado, iyee, mi bado Kulipa kodi majanga Bado, mimi bado, mi bado [Verse 2] Mtaani kwetu hekaheka ukienda sokoni kariri vichochoro Ghetto namkek...

Lyrics | Rich Mavoko - Ibaki Story.| Official Lyrics

Image
[Verse 1] Matapishi ni kinyaa kuzirudisha tena kwenye kinywa Japo mengi ulisema, kama nuru ghafla ukazima Ikawa ngumu kukusahau, nikasema moyo ukome Kwa kali sulu na madharau, penzi ulivunja na ngome [Pre-Chorus] Na unajua hata nikilia siwezi kutokwa na machozi We ndo ulifanya macho yangu nione wengi waongo Aa ukaudhurumu moyo wangu, uliuza penzi kwa magendo Leo unatamani wewe kurudia zamani, ni ndoto Wewe nirubuni kwa penzi la kidani kama mtoto [Chorus] Mi na wewe, acha ibaki story mi na we Mapenzi mi na wewe, acha ibaki story mi na wewe Mi na wewe, acha ibaki story mi na we Mapenzi mi na wewe, acha ibaki story mi na wewe [Verse 2] Kiliniumiza kitanda na shuka tuliolalia Mapenzi yana siri kubwa, sishangai mtu akilia Nimekubali mboni zangu zimtazame mwingine Maridhia ya moyo wangu huenda si fungu pengine Cha kushangaza hadharani mengi ya kuficha ukaweka wazi Nikahisi sijui mapenzi, labda kwako sinogi nazi ...

Lyrics | Diamond Platnumz - Lala Salama.| Official Lyrics

Image
[Intro] Lala salama Matatizo, chuki, lawama [Chorus] Ukilala lala salama, kumbatia picha yangu Na kama ukinikumbuka sana nipigie simu yangu Uki-ukilala lala salama, kumbatia picha yangu Matatizo, chuki, lawama vumilia mpenzi wangu [Verse 1] Najua wivu ndo mapenzi, ila chunga usizidi Si unajua kwako sijiwezi, ila dhiki mmebidi Mi nilitamani sana mi kuwa nawe, tuwe wote usiku na mchana Kilichonifanya mi nipagawe sina chochote cha kuwalisha wana Niliupokea kwa unyonge msiba wa kaka Bonda Ile barua yako ya mwisho ilinitonesha vidonda Usije nilali kipenzi changu Ukadhani nimekumbwa na pepo la starehe Mambo bado magumu kwangu Afadhali hata ya jana, ya kesho niombee [Chorus] Ukilala lala salama, kumbatia picha yangu Na kama ukinikumbuka sana nipigie simu yangu Uki-ukilala lala salama, kumbatia picha yangu Matatizo, chuki, lawama vumilia mpenzi wangu [Verse 2] Ile “kua uone”, nilidhani maghorofa Ah aa kumbe mwana ukome, hakuna cha kuokota Mi bado nakaza moyo changu kipenzi Ila naumia kwa ku...

Lyrics | Diamond Platnumz - Binadamu.| Official Lyrics

Image
[Intro] Eyoh… Yoh I’m back Bob Junior, I’m back Acha vita ianze Wamechelewa [Chorus] Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya (wabaya) Ndugu, rafiki, nani ana roho safi, nani ana roho mbaya (mbaya) Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya Mola, naomba nilinde niwe na upendo wa dhati Wote niishi nao sawa [Verse 1] Nilipouanza mziki, mbali na dhiki Nimekutana na matatizo sana Sikuwa rafiki, sithaminiki Bado kidogo mie tu nikate tamaa Wangu moyo, ulivumilia dharau na masimango mi Mi wangu moyo, ulivumilia utumwa na manyanyaso di Yaani nahangaika usiku kucha naambulia patupu Nilikuwa naumia Moyoni najipa moyo kesho ntakuwa maarufu Mwisho wa siku nafulia Ile nahangaika usiku kucha naambulia patupu Nilikuwa naumia Najipa moyo kesho ntakuwa maarufu Mwisho wa siku nafulia [Chorus] Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya (wabaya) Ndugu, rafiki, nani ana roho safi, nani ana roho mbaya (mbaya) Ni we pekee unaejua wanga...

Lyrics | Diamond Platnumz - Acha Nikae Kimya.| Official Lyrics

Image
                                                                                         Nasema walau nina kidogo na mashabiki wananiambia mbona hausemi chochote Ah, si uko nao siku zote ama ulezi unafanya uogope Ah na media pande zote wanalalama kiongozi atoke Ah nchi inaingia matope niende wapi na mimi mtoto wa wote, Yaani lawama, acha nikae kimya, niongee, kimya (ooh ninyamaze mimi) Nikae kimya nisemee (kimya) mama kaniambia (acha nikae kimya) Ooh nifunge m[u]domo, mimi bado m[u]dogo nisiseme (kimya) Verse Ni mengi majaribu najaribu kuepuka yasije nicost Japo mengine swadakta mengine hayana maana Rafiki kipenzi wa karibu hata nyimbo yake sikuweza ipost Ila alipokamatwa iliniumiza sana mitandaoni kila kona Uongo na ukweli unashonwa kila nyumba inanong’ona, ahh, oo...

Lyrics | Diamond Platnumz -Ukimwona.| Official Lyrics

Image
                        Verse 1 Mungu aliumba dunia mapenzi tangu na tangu Yashanipiga sasa sinabudi nielewe Siwezi kung'ang'ania huenda sio fungu langu Japo nishida ila, nitabaki mwenyewe Ohh ila , mpe shukrani kwa kuniumiza sura yangu Mwambie mi bado mahututi nauguza kidonda changu Na asisikie kisirani, hukumu ya mapenzi mabaya Hata ungali hai kairuki usingetibu gonjwa langu Kutwa nzima moyo unanidunda dunda (dunda) Sina amani nasaga rumba (rumba) Ooh unani dunda Sema chine tembee moyoo Unanidunda dunda (mami moyooo) Sina amani nasaka rumba (ooh mimii) Ohh unani dunda Chorus Eeeeeeeh ukimwona Ukimwona ukimwona Ukimwona ukimwona ukimwona We nenda mwambie marafiki, marafiki wabaya Tena wengi waongo, hawawazi ndanganye Oya ni mashoga rafiki, oohh marafiki wabaya Oooohhhh oooohhh mmmmmhhh Verse 2 Tatizo mi bado, nilipoteleza nkakosa ...

Lyrics: Bahati & Rayvanny-[ UNIKUMBUSHE]

Image
(Usiponiona leo kama jana kesho nikumbushe nisipokuwa leo kama jana kesho unikumbushe)x2 (nikumbushe eh unikumbushe eh) x2 Leo nyota imeng'aa nasahau nilikotoka naidharau mitaa na mateso niliyosota, aie ndugu zangu kinyaa mafukara wananichosha niache wafe na njaa nijisifu nitawanyosha eh sili kwetu Kisumu bondo, chakula haina swaga, sitaki kula chapo dondo nataka pizza na buger ehh, uniepushe maulana nisiishie njiani, unikumbushe ya jana, kesho nipe dhamani kwenye maisha ya muziki, ukiwa na uendo utaishi Timu hazijengi urafiki, tusije kuuana kwa kugombania viti eti nimuache mama kwenye dhiki, kisa mambo yangu yametiki akipiga simu siishiki, nikipokea nimwone kama shabiki (Usiponiona leo kama jana kesho nikumbushe nisipokuwa leo kama jana kesho unikumbushe)x2 (nikumbushe eh unikumbushe eh) x2 nimejawa na kiburi, ukweli haupo nami, alionifunzage dini mama, simwiti mummy, roho imejawa na uhuni, star najiona mi nikipita na kagari vumbi , natupia wadhee niwe kama peter, kumkana...